SHIKA KITITA CHA MAANA LEO
JUMAPILI ya kuondoka kinara na wakali wa ubashiri Tanzania umefika ambapo Meridianbet inakupa nafasi ya kuibuka bingwa leo. Wababe wengi kuchuana huku wewe ukiondoka na mkwanja mzito. EPL leo hii kuna mechi mbili tuu ambapo mechi ya mapema ni hii ya Fulham dhidi ya Ipswich ambao wametoka kushinda mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati…