Gadiel aitosa Chippa United | Mwanaspoti
BEKI wa kushoto wa kimataifa wa Tanzania, Gadiel Michael ameachana na Chippa United ya Afrika Kusini huku sababu za kuondoka klabuni hapo hazijulikani. Nyota huyo wa zamani wa Simba na Yanga ambaye wakati mwingine amekuwa akitumika kama kiungo ndani ya timu hiyo ya Chippa, alijiunga na timu hiyo msimu huu kwa mkataba wa mwaka mmoja…