“Dirisha la makadirio ya Kodi kwa mwaka 2025 lafunguliwa Wafanyabiashara Mkoa wa Tanga wakumbushwa”
Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga, Thomas Masese, amewakumbusha wafanyabiashara kuhusu dirisha la makadirio ya kodi kwa mwaka wa 2025, linaloanzia Januari hadi Machi 2025, likiwa na lengo la kurahisisha ulipaji kodi bila kuwekewa adhabu. Akizungumza Meneja Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga amesema kuwa lengo la kukutana na…