Kikwete ataja kilichomsukuma kumteua Jaji Werema kuwa Mwanasheria Mkuu
Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametaja umahiri wa sheria na misimamo katika kutaka haki kuwa miongoni mwa mambo yaliyomshawishi kumteua Frederick Werema kuwa Jaji wa Mahakama Kuu mwaka 2006. Kikwete amesema hayo leo Januari 2, 2025 kwenye hafla ya kitaifa ya kuaga mwili wa Werema aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali…