WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU JAJI WEREMA
*Rais Dkt. Samia asema Jaji Werema alikuwa kiongozi mwenye weledi na msimamo. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Januari 02, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuaga mwili wa marehemu Jaji Fredrick Werema ambaye aliwahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kipindi cha kuanzia Mwaka 2009-2014. Mheshimiwa Waziri Mkuu amesema kuwa Rais…