Kibarua cha Josiah Tanzania Prisons
PAMOJA na heshima aliyopata kutoka Championship hadi Ligi Kuu, kocha mpya wa Tanzania Prisons, Aman Josiah anakabiliwa na mtihani mzito kutoboa. Josiah anatarajia kuinoa Prisons baada ya mtangulizi wake, Mbwana Makata kufungashiwa virago kutokana na matokeo yasiyoridhisha katika Ligi Kuu. Katika michezo 15 aliyoiongoza Makata, Prisons imeshinda miwili, sare tano na kupoteza saba na kuiacha…