‘Dk Manguruwe’ kuhojiwa polisi siku tatu mfululizo
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu, imemruhusu Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40) maarufu Dk Manguruwe anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, kwenda kuhojiwa polisi kwa siku tatu mfululizo. Mkondya na mwenzake, Mkaguzi wa fedha wa kampuni hiyo, Rweyemamu John (59), wanakabiliwa na mashtaka 28 yakiweno ya kuendesha biashara…