Ushahidi wa Askofu Chilongani kesi ya Sepeku
Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi Central Tanganyika (Dodoma), Dk Dickson Chilongani (59) ameieleza mahakama kuwa alijihisi furaha na huzuni, Askofu mkuu wa kwanza wa kanisa hilo, hayati John Sepeku alipozawadiwa shamba na nyumba. Dk Chilongani ameieleza hayo Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi leo Agosti 29, 2025, alipotoa ushahidi katika kesi ya…