Kipa wa Simba kutua Tabora United
MABOSI wa Simba leo Ijumaa walitarajia kufanya kikao cha kumalizana na mmoja wa makipa waliokuwa wakiitumikia timu hiyo, ikidaiwa mipango ya kumtoa kwa mkopo imekuwa ngumu baada ya kipa huyo kugoma na kutaka alipwe chake asepe mazima Msimbazi. Hatua hiyo, imewafanya mabosi wa Simba kuitisha kikosi hicho cha jana kwa lengo la kumalizana na kipa huyo…