Watoto watatu wafa maji kwenye lambo
Siha. Watoto tatu wa familia moja wamefariki dunia katika Kijijii cha Ngaratati, Kata ya Makiwaru wilayani Siha walipokuwa wakiogelea kwenye lambo lilijengwa na Serikali kwa ajili ya mifugo kupata maji. Diwani wa kata hiyo, Ezekiel Lukumai amewaeleza waandishi wa habari kuwa tukio hilo lilitokea Januari 2, 2025 watoto hao walipokwenda kufua nguo na kuoga. Amesema…