MHAGAMA AKABIDHI VITENDEA KAZI VYA SH. MILIONI 674.3 KWA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII
Na WAF – Bukoba, Kagera Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amekabidhi vitendea kazi kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii vyenye thamani ya Shilingi Milioni 674.3 kwa mikoa Saba ambayo ni Njombe, Pwani, Kigoma, Ruvuma, Songwe, Lindi pamoja na Kagera. Waziri Mhagama amekabidhi vitendea kazi hivyo leo Januari 3, 2025 akiwa mkoani Kagera, mkoa…