NMB Yakabidhi Shilingi Bilioni 1.9 kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Wenye Ulemavu Jijini Dodoma
Dodoma – Benki ya NMB imekabidhi hundi ya zaidi ya shilingi bilioni 1.9 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, kwa ajili ya mikopo ya vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu kupitia mpango wa asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika hafla…