Wakulima wa parachichi Njombe sasa kucheka
Njombe. Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amesema ujenzi wa kiwanda cha kuchakata parachichi mkoani mwake, ni mkombozi mkubwa kwa wakulima kwani tofauti na ilivyokuwa awali mkulima alikuwa anauza kwa bei ndogo kutokana na hofu ya tunda kuharibika lakini sasa atakuwa na maamuzi ya bei. Akizungumza katika ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa kiwanda…