600,000 watumia majina feki kuomba vitambulisho Nida
Dar es Salaam. Ikiwa zimepita siku 25 tangu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa kuipa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), siku 60 za kusambaza vitambulisho milioni 1.2 vilivyotengenezwa, mamlaka hiyo imebainisha kukumbana na changamoto ya majina feki. Akizungumza na waandishi wa habari, baada ya ziara fupi ya Naibu Waziri wa Mambo…