AZAKI ZAWASILISHA MABORESHO MAONI DIRA 2050 KWA KAMATI YA TUME YA MIPANGO
DAR ES SALAAM Asasi za Kiraia (AZAKi) zimewasilisha maoni ya ziada ya kuhakiki rasimu ya Dira Ya Taifa ya Maendeleo 2050 chini ya uratibu wa Foundation for Civil Society (FCS) kwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Dira hiyo. Akizugumza katika mkutano wa AZAKi…