Maslahi kuamua hatma ya Mgunda
IMEELEZWA endapo makubaliano ya kimaslahi yakienda sawa baina ya timu ya Mashujaa FC na AS Vita ya DR Congo basi dili la mshambuliaji Ismail Mgunda linaweza likatiki. Ipo hivi: Awali, Mwanaspoti liliripoti kuhusiana na Mgunda kufanya mazungumzo na AS Vita na baadaye akaonekana katika picha ya pamoja ya wachezaji wa timu hiyo, jambo ambalo uongozi…