AKILI ZA KIJIWENI: Nabi anapitia tanuri la moto Sauzi
RAFIKI yetu Nasreddine Nabi wakati anakuja nchini kwa mara ya kwanza kufanya kazi ya kuinoa Yanga, hakukuwa na mbwembwe wala hekaheka nyingi za vyombo vya habari. Ilikuwa hivyo kwa sababu hakuingia kama staa kwa vile alitoka kuachana na El Merreikh ya Sudan kufuatia mwenendo usioridhisha wa timu hiyo katika Ligi ya Mabingwa Afrika na ligi…