Baleke, Yanga ngoma nzito, ishu nzima iko hivi
YANGA imekuwa ikitajwa kutaka kumtema mshambiliaji Jean Baleke, lakini inaelezwa hadi sasa mambo bado magumu kutokana na kuwepo kwa vipengele vinavyoufanya mkataba baina yao usivunjike kirahisi. Awali, Yanga ilitaka kumpeleka Baleke kwa mkopo Namungo, lakini mchezaji anataka mkataba uvunjike alipwe chake na maisha mengine yaendelee, hivyo wanaendelea kujadiliana kuona jambo hilo wanalimaliza kwa uharaka. Mwanaspoti…