Marufuku ya Kihistoria ya Ndoa za Utotoni nchini Kolombia – Masuala ya Ulimwenguni

Credit: Fundación Plan/Instagram Maoni na Ines M Pousadela (montevideo, urugwai) Jumatano, Januari 08, 2025 Inter Press Service MONTEVIDEO, Uruguay, Jan 08 (IPS) – Kolombia imeadhimisha hatua ya kihistoria katika kampeni ya kimataifa dhidi ya ndoa za utotoni, huku Seneti ikiipitisha moja ya Amerika ya Kusini na Karibiani. marufuku ya kina zaidi kuhusu ndoa za utotoni…

Read More

Mashemasi 18 Moshi wapata upadre, Askofu Pengo awafunda

Moshi. Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, amewataka mapdre vijana kuwa tayari wakati wowote kwenda  kufanya kazi za kitume  katika vituo vya kazi  wanavyopangiwa. Mbali na wito huo, Askofu Pengo amewataka pia mapdre hao kuwa mfano mzuri wa kanisa na kutenda sawa sawa na utume wao…

Read More

Mtoto ajeruhiwa shingoni, ashonwa nyuzi tisa

Janeth Joseph na Florah Temba Moshi. Mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Azimio, iliyopo Kijiji cha Uchira wilayani Moshi, Dorcas Halifa (13) amejeruhiwa shingoni na kitu chenye ncha kali. Tukio hilo linaelezwa kutokea alfajiri ya Januari 2, 2025 mtoto huyo alipoagizwa na mama yake mlezi kupeleka maharage mgahawani. Mtoto huyo aliyeshonwa nyuzi…

Read More

Makonda aagiza kasi ujenzi makao makuu Jiji la Arusha

Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameagiza mkandarasi anayejenga ofisi na makao makuu ya Halmashauri ya Jiji la Arusha kukamilisha awamu ya pili ya ujenzi Mei badala ya Julai, 2025 kama ilivyokuwa imepangwa awali. Ametoa agizo hilo leo Alhamisi Januari 9, 2025 alipokagua ujenzi unaoendelea. Katika ukaguzi huo alielezwa mradi ulisuasua kutokana na…

Read More

TANZANIA NA NORWAY YAKUTANA KWA MASHAURIANO YA KISIASA

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ufalme wa Norway zimekubaliana kupanua wigo wa ushirikiano katika Mkutano wa tatu (3) wa Mashauriano ya Kisiasa uliofanyika Januari 9, 2025, jijini Dar es Salaam kama hatua ya kutathmini na kuuendeleza uhusiano wa uwili baina ya nchi hizo mbili. Kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…

Read More

DCEA yakamata kilo milioni 2.3 za dawa za kulevya 2024

Dar es Salaam. Udhibiti uliowezesha kuzuia kusambaa kilo milioni 2.3 za dawa za kulevya umezuia athari ambazo zingejitokeza na kurudisha nyuma ustawi wa Tanzania. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema, kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama, imekamata kiasi hicho cha dawa mwaka 2024, kikiwa kikubwa kulinganisha na kilo milioni…

Read More

Miaka 10 ya Eyakuze Twaweza: Safari ya milima na mabonde

Dar es Salaam. Baada ya miaka 10 ya milima na mabonde katika ushawishi wa sera na kusikiliza sauti za wananchi, sasa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza East Africa, Aidan Eyakuze anastaafu. Eyakuze anayestaafu Machi, 2025 anakwenda kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Ubia wa Serikali ya Uwazi (OGP) yenye makao makuu nchini Marekani….

Read More