Kizungumkuti ukaguzi magari ya shule

Dar/mikoani. Wakati shule nyingi zikifunguliwa Jumatatu ya Januari 13, 2025, Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani linaendelea na ukaguzi wa mabasi ya wanafunzi huku likionya kuchukua hatua kali za kisheria kwa wote watakaokiuka sheria na miongozo. Mamia ya watoto, hasa wanaosoma shule za mijini, wamekuwa wakitumia usafiri wa mabasi ya shule wakati wanakwenda shule…

Read More

Nondo aibua mpya utekaji wake, Polisi yamjibu

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT- Wazalendo, Abdul Nondo amesikitishwa na ukimya wa Jeshi la Polisi kushindwa kumpatia mrejesho wa tukio la kutekwa kwake na watu wasiojulikana alilofanyiwa Desemba 1, 2024. Amesema jambo hilo linazidi kumpatia uchungu na hofu zaidi juu ya mustakabali wa maisha na kesho yake dhidi…

Read More

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI YAKAGUA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA UKIMWI NJOMBE

NA.MWANDISHI WETU Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, imetembelea miradi mbalimbali  mkoani Njombe leo tarehe  09 Januari, 2025. Kamati hiyo imetembelea kituo cha Afya cha Njombe Mjini kilichopo katika Halmashauri ya mji wa Njombe kwa lengo la kujionea huduma zinazotolewa katika kituo hicho ikiwemo huduma za upimaji UKIMWI, pamoja na…

Read More

Kizungumkuti magari ya shule | Mwananchi

Dar/mikoani. Wakati shule nyingi zikifunguliwa Jumatatu ya Januari 13, 2025, Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani linaendelea na ukaguzi wa mabasi ya wanafunzi huku likionya kuchukua hatua kali za kisheria kwa wote watakaokiuka sheria na miongozo. Mamia ya watoto, hasa wanaosoma shule za mijini, wamekuwa wakitumia usafiri wa mabasi ya shule wakati wanakwenda shule…

Read More

Zaidi ya wakimbizi 125,000 wanarejea Syria katika hali mbaya – Masuala ya Ulimwenguni

Uongozi wito kwa jumuiya ya kimataifa “kutoka kwa maneno kwenda kwa vitendo” kusaidia watu walio katika mazingira magumu zaidi waliorejea nchini humo haraka, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCRalisema hivyo familia nyingi hazina makao na matarajio machache ya kiuchumi. “Katika wiki za hivi karibuni, kumekuwa na mazungumzo katika duru za ngazi ya…

Read More

DPP aita jalada kesi ya jaribio la utekaji wa ‘Big Tarimo’

Dar es Salaam. Kwa mara nyingine tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, iliyopo Kinondoni imeshindwa kuendelea na usikilizwaji wa kesi ya jaribio la kumteka mfanyabiashara Deogratius Tarimo. Kesi inayowakabili mjasiriamali, Fredrick Said na wenzake watano ilikuwa imepangwa leo Alhamisi, Januari 9, 2025 kwa ajili ya usikilizwaji wa awali, kwa washtakiwa wangesomewa maelezo ya awali ya…

Read More

Safari ya miaka 10 milima, mabonde ya Eyakuze Twaweza

Dar es Salaam. Baada ya miaka 10 ya milima na mabonde katika ushawishi wa sera na kusikiliza sauti za wananchi, sasa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza East Africa, Aidan Eyakuze anastaafu. Eyakuze anayestaafu Machi, 2025 anakwenda kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kamati ya Uendeshaji ya Ubia wa Serikali Huria (OGP) yenye makao makuu nchini…

Read More

Hii ndiyo sekretarieti mpya ya CUF

Dar es Salaam. Zikiwa zimepita wiki tatu tangu kufanyika kwa uchaguzi wa Chama cha Wananchi (CUF), Baraza Kuu la Uongozi limewachagua viongozi wapya wa sekretarieti ya chama hicho watakaohudumu kwa miaka mitano ijayo. Katika mkutano mkuu wa CUF uliofanyika Desemba 18, 2024, Profesa Ibrahim Lipumba alichaguliwa tena kuwa mwenyekiti wa chama hicho, akiwa tayari amekiongoza…

Read More