Wanaodaiwa kunaswa na jahazi lenye kilo 447 za dawa za kulevya kortini
Dar es Salaam. Raia wanane wa Pakistani wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kusafirisha jumla ya kilo 447.3 za dawa za kulevya aina ya heroine na ethamphetamine. Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo, leo Alhamisi Januari 9, 2025 na kusomewa mashtaka yao, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki….