BARAZA LA WAFANYAKAZI PSPTB LAFUNGULIWA
BODI ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imefanya kikao cha Baraza la wafanyakazi leo ili kujadili mafanikio, changamoto na njia za kuweza kutatua changamoto zilizojitokeza wakati wa uundaji wa bajeti mwaka unaokuja wa 2025/2026. Akizungumza kwenye kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalamu Ununuzi na Ugavi Godfred Mbanyi amesema baraza ni chombo…