WAZIRI KOMBO AAGANA NA BALOZI WA MAREKANI

Tanzania itaendelea kutoa ushirikiano kwa Ubalozi wa Marekani nchini na kuahidi kumpatia ushirikiano wa karibu Balozi ajaye katika utekelezaji wa majukumu yake awapo Tanzania pamoja na kuangazia maeneo ya kuongeza wigo wa ushirikiano kwa manufaa ya nchi zote mbili. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud…

Read More

Dk Biteko acharuka Tanesco, aagiza uongozi ufumuliwe

Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekerwa na utendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akitoa maagizo uongozi wa kituo cha miito ya simu (call centre) ufumuliwe. Maagizo ya Dk Biteko kwa Tenesco ni kufuatia kutotekelezwa kwa maagizo yake ya aliyoyatoa mwaka jana ya kuwepo kwa namba ya…

Read More

Mzize anavyowafukuza Aziz, Pacome | Mwanaspoti

Yanga inajiandaa kusafiri kuifuata Al Hilal ya Sudan kwa mchezo wa raundi ya tano ya kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika ili kuisaka tiketi ya kupenya kwenda robo fainali ya michuano hiyo kwa msimu wa pili mfululizo. Msimu uliopita timu hiyo ilicheza hatua hiyo baada ya kupenya kutoka Kundi A sambamba na Al Ahly ya…

Read More

Moto wateketeza makazi ya mastaa Hollywood Marekani

Marekani. Moto wa porini umelipuka eneo la Hollywood Hills na kusababisha taharuki kubwa na watu wengi kuhamishwa kutoka Hollywood Boulevard, huku kukiwa na onyo kwamba wakazi wengine 100,000 wanapaswa kuwa tayari kuondoka makwao. Kwa mujibu wa tovuti ya daily mail, moto huu wa kasi, unaojulikana kama “Sunset Fire,” ulianza kuenea kwa kasi kupitia Hills, na…

Read More