CAF yaongeza mkwanja CHAN | Mwanaspoti
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeweka wazi ongezeko kubwa la zawadi kwa washindi wa Mashindano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) ya mwaka 2024 yatakayofanyika Kenya, Tanzania, na Uganda. Zawadi ya mshindi wa michuano hii imeongezwa kwa asilimia 75, ambapo sasa mshindi atapata dola 3.5milioni ambazo ni zaidi ya 8.7 bilioni. Aidha, jumla ya zawadi kwa…