Afariki dunia akidaiwa kunywa pombe za kienyeji
Babati. Mkazi wa Mtaa wa Sawe, Kata ya Maisaka, mjini Babati mkoani Manyara, Yona Angres amefariki dunia kwa kile kinachodaiwa ni kunywa pombe nyingi za kienyeji kupita kiasi. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Ahmed Makarani akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano Januari 8 mwaka 2025 amethibitisha kutokea kwa…