Fainali ya wageni yanukia Mapinduzi 2025
USHINDI ilioupata Kenya dhidi ya Kilimanjaro Stars na ule wa Burkina Faso mbele ya wenyeji Zanzibar Heroes, umeziweka timu hizo zilizoalikwa kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025 katika nafasi mzuri ya kucheza fainali itakayopigwa Jumatatu ijayo, visiwani hapa. Timu hizo mbili kila moja sasa ina pointi nne baada ya kucheza mechi mbili, huku Harambee…