
Bidhaa bandia zinavyotafuna uchumi wa Tanzania
Dar es Salaam. Biashara ya bidhaa bandia inaendelea kuathiri uchumi wa Tanzania, huku takwimu zikionesha Serikali inapoteza zaidi ya Sh1.7 trilioni kila mwaka kutokana na ukwepaji wa kodi ya bidhaa kwenye sekta za pombe na sigara. Tatizo hilo limekithiri zaidi katika maeneo ya mipakani kama Kigoma, Songwe, Katavi, Mbeya, Musoma mkoani Mara na Kagera, pamoja…