Upelelezi bado kesi ya vigogo CCM wanaotuhumiwa kumuua katibu
Iringa. Upande wa Jamhuri katika kesi ya mauaji inayowakabili viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo umeieleza Mahakama ya Wilaya ya Iringa kuwa, upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Wilaya ya Kilolo, Hedikosi Kimwaga, Diwani wa Nyanzwa, Boniface Ugwale, Katibu…