RC Makongoro na mbio za kuwavuta wawekezaji sekta ya madini Rukwa
Rukwa. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Makongoro Nyerere amesema mkoa huo umeandaa mazingira rafiki na bora ili kuwavutia wawekezaji kuwekeza katika sekta ya madini. Kauli hiyo ameitoa leo Jumanne Januari 7, 2025 alipokutana na kufanya mazungumza na wadau wa sekta ya madini mkoani humo. Makongoro amesema kwa sasa Rukwa imekuwa kivutio kikubwa kwa wawekezaji kutokana…