Madereva wenye leseni, hawana vyeti kikaangoni
Moshi. Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Kilimanjaro, limeendelea na operesheni maalumu ya kuhakiki leseni za madereva wa magari ya abiria. Jeshi hilo limesema madereva watakaokutwa hawana sifa za kuendesha magari hayo wataondolewa barabarani. Jana, Januari 6, 2025 baadhi ya magari madogo aina ya Toyota Noah yanayobeba abiria kati ya Moshi Mjini…