Waasi M23 wauteka mji muhimu mashariki mwa Congo – Global Publishers
Waasi wa M23 wameuteka mji wa kimkakati wa mashariki karibu na mji mkuu wa jimbo la Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC, wanasiasa wa eneo hilo walisema jana Jumapili. Kundi linaloongozwa na Watutsi la M23 limekuwa likiendesha uasi upya mashariki mwa Congo tangu mwaka 2022. DRC na Umoja wa Mataifa wanaishutumu nchi jirani ya…