Waziri Mkuu wa Canada ajiuzulu kufuatia shinikizo za chama – DW – 07.01.2025
Hatua hiyo ya kujiuzulu imekuja miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu wa Canada. Justin Trudeau amesema anapanga kusalia kama waziri mkuu hadi kiongozi mpya wa chama atachaguliwa. Trudeau alipoteza uungwaji mkono wa chama baada ya waziri wa fedha na mshirika wake wa karibu Chrystia Freeland kujiuzulu mwezi uliopita. Waziri Mkuu huyo wa Canada, mwenye umri…