Ongezeko la uwekezaji sekta ya utalii lakuza uchumi Z’bar
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, amesema kuna ongezeko kubwa la wawekezaji katika sekta ya utalii, hatua inayochangia kukuza uchumi na kuleta maendeleo nchini. Amesema ongezeko hilo hasa katika uwekezaji wa hoteli, linachangia kuvutia idadi kubwa ya watalii wanaotembelea Zanzibar, hivyo kukuza sekta ya utalii. Dk Mwinyi amesema hayo leo Jumatatu Januari 6,…