Waziri wa mambo ya nje wa Syria aitembelea UAE – DW – 06.01.2025
Hii leo,Jumatatu, waziri wa mambo ya nje Assad al Shaibani pamoja na waziri wa ulinzi na mkuu wa ujasusi wa nchi hiyo, wamewasili Umoja wa Falme za kiarabu katika ziara yao ya kwanza nchini humo tangu waasi walipouondowa utawala wa Bashar al- Assad. Picha: New Syrian Administration Office/ZUMAPRESS.com/picture alliance Waziri mpya wa mambo ya nje…