RAIS SAMIA AONGOZA MKUTANO WA DHARURA WA UTATU WA WAKUU WA NCHI YA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA SADC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC- Organ), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza Mkutano wa Dharura wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo uliofanyika kwa njia ya mtandao katika Ikulu Ndogo…