DC aonya watakaovamia Pori la akiba Kilombero
Kilombero. Mkuu wa Wilaya ya Kilombero (DC), Dunstan Kyobya amesema Serikali haitawafumbia macho watu watakaohusika kudhoofisha jitihada za kulinda na kuhifadhi pori la akiba Kilombero ambalo ni mahususi kwa ajili ya kuhifadhi vyanzo vya maji, misitu na wanyamapori. Pori hilo la akiba pia ndio chanzo cha upatikanaji wa maji kupitia mto Kilombero kwa ajili ya…