Ukraine yaishambulia Russia kwa makombora ya ATACMS, yaahidi kujibu mapigo
Moscow. Russia imesema itajibu mapigo kufuatia mashambulizi ya makombora nane ya vikosi vya Ukraine. Ukraine ilipewa na Marekani makombora hayo aina ya ATACMS. Kwa mujibu wa The Guardian, shambulizi la Ukraine nchini Russia lilifanyika jana Jumamosi Januari 4, 2025 ambapo makombora hayo yalilenga kupiga umbali wa kilometa 300 ndani ya Russia kutoka nchini Ukraine. Wizara…