Ukali wa mzazi unavyoweza kuathiri uhusiano na mtoto
Dar es Salaam. Wanasema samaki mkunje angali mbichi, methali hii inashabihiana na aina ya jamii za Afrika na dunia kwa ujumla, ambapo moja ya majukumu ya mzazi katika familia ni kuhakikisha mtoto anakuwa katika maadili bora na upendo, huku mshikamo ukisimama kama nguzo muhimu katika familia. Ni dhahiri kuwa baadhi ya tabia za watoto kama…