ABIRIA WATAKIWA KUKATA TIKETI KWA KUTUMIA MFUMO WA KIDIGITALI
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Abiria wametakiwa kuwajibika kwa kuhakikisha wanakata tiketi zao kwa kutumia mfumo wa kielektroniki ili kupunguza changamoto ambazo wamekuwa wakikumbana nazo hasa wakati wa kusafiri. Hayo yameelezwa leo Januari 4,2025 Jijini Dodoma na Koplo Esther Makali kutoka Ofisi ya Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Dodoma, Dawati la Elimu kwa…