Latra yatia mguu udhibiti wa ‘Special hire’
Dar es Salaam. Mwaka 2024 Tanzania ilikubwa na jinamizi la ajali za barabarani, Desemba ukiwa kinara. Ni kutokana na ajali hizo, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (Latra) imekuja na mpango maalumu ukiwalenga wamiliki na madereva wa mabasi maalumu ya kukodi (Special hire) ambayo mengi ni Toyota Coaster. Hatua ya Latra inatokana na tathimini iliyofanya…