Wadau waonyesha njia kukabili tatizo la ajira
Arusha. Ufanisi mdogo wa vitendo katika utendaji kazi miongoni mwa wahitimu wa vyuo vikuu nchini, umeelezwa kuwa moja ya kikwazo cha vijana kushindana katika soko la ajira, ndani na nje ya nchi. Kauli hiyo imetolewa leo, Alhamisi Agosti 28, 2025, jijini Arusha na Mhadhiri na Mratibu Msaidizi wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi…