Massawe ‘Bwana harusi’ apata dhamana
Dar es Salaam. Mfanyabiashara Vicent Masawe (36) maarufu Bwana harusi, anayekabiliwa na mashtaka ya wizi wa gari na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu amepata dhamana. Masawe aliyekula sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya akiwa gerezani baada ya kushindwa kutimiza masharti, amepata dhamana leo Ijumaa Januari 3, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mshtakiwa…