Kigi Makasi achimba mkwara Championship
KIGI Makasi, nyota wa zamani wa Simba, Yanga na Mtibwa Sugar aliyetua Stand United ‘Chama la Wana’ amesema wachezaji na benchi la ufundi la timu hiyo wamekula kiapo cha kushinda mechi za nyumbani, huku akiichimba mkwara Geita Gold watakayoivaa katika mchezo wa kufungia duru la kwanza la Ligi ya Championship. Makasi alijiunga na Chama la…