Mpanzu sasa uhakika, Mutale akiachwa Dar
KIKOSI cha Simba tayari kipo jijini Tunis, Tunisia kikijichimbia katika hoteli moja ya kishua iitwayo Royal Asbu, huku benchi la ufundi pamoja na wanachama na mashabiki wa klabu hiyo wakipa mzuka zidi baada ya Shirikisho la Soka Afrika kuwalainisha mambo kabla ya kuvaana na CS Sfaxien Jumapili ya wiki hii. Simba iliyoondoka juzi usiku kwenda…