Maafisa Korea Kusini wajaribu kumkamata Rais Yoon – DW – 03.01.2025
Maafisa nchini Korea Kusini wamefanikiwa kuingia katika makazi ya rais mapema leo Ijumaa, wakijaribu kumkamata kiongozi aliyeondolewa madarakani Yoon Suk Yeol, wakati wafuasi wake wakiendelea kupiga kambi nje ya makazi hayo. Maafisa kutoka ofisi ya kupambana na rushwa ya CIO, waliingia kwenye makazi hayo kupitia ulinzi mzito katika harakati za kumkamata Yoon anayechunguzwa kufuatia hatua…