MBUNGE UMMY MWALIMU AMSHUKURU RAIS DKT SAMIA KWA KUTOA TENA KIASI CHA BILIONI 4.7 UJENZI BARABARA YA TANGA-PANGANI
Na Oscar Assenga,Tanga MBUNGE wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa tena kiasi cha shilingi bilioni 4.7 ili mkandarasi wa kampuni ya Chiko anayejega barabara ya Tanga hadi Pangani kwa kiwango cha lami aendelee na kazi baada ya kusimama muda mrefu. Ummy aliyasema hayo leo wakati wa…