RAIS MSTAAFU KIKWETE:WANAOSEMA UTARATIBU HAUKUFUATWA KUMPATA MGOMBEA URAIS CCM WANAJITOA UFAHAMU
Asema utaratibu uliotumika kumpata Dk.Samia kuwa mgombea Urais ndio huo huo uliotumika kwa wengine huko nyuma *Asema wanaosema utaratibu umekiukwa walikuwepo awamu zote lakini kwanini wanasema hayo leo *Asisitiza utaratibu wa Mkutano Mkuu uliofanyika Januari 18 na 19 uko sahihi na anauunga mkono Na Said Mwishehe,Michuzi TV RAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne,…