Wanne wafariki dunia , 30 wajeruhiwa shambulio Ukraine
Kyiv. Shambulio limefanywa na Jeshi la Russia nchini Ukraine, limeuwa watu wanne wakiwemo watoto wawili na kujeruhi wengine 30. Shambulio kubwa la pamoja likihusisha ndege zisizo na rubani (drone) na makombora limetokea leo, Alhamisi ya Agosti 28, 2025, katika jiji la Kyiv. Shambulio hilo linatajwa kuwa la kwanza kubwa la aina hiyo tangu Rais wa…