CCM yaahidi kuendeleza jitihada kukuza zao la korosho
Mtwara. Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kuendeleza mapinduzi katika sekta ya kilimo, akisisitiza kuwa Serikali imewekeza kwa kiwango kikubwa katika ruzuku ya pembejeo ili kuongeza uzalishaji, hasa wa korosho na mazao mengine kote nchini. Akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Septemba 26, 2025 mkoani Mtwara, Samia amesema katika…