Dk Mpango aipongeza CRDB kuwezesha wananchi kiuchumi

Buhigwe. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk Philip   Mpango, ameipongeza Benki ya CRDB kwa mchango wake mkubwa katika kuimarisha huduma za kifedha nchini, hatua inayowezesha wananchi wengi kushiriki kikamilifu kwenye shughuli za kiuchumi. Akizindua rasmi tawi jipya la benki hiyo leo Agosti 27,2025 wilayani Buhigwe, Dk Mpango amesema hatua ya benki…

Read More

WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WATUNZA KUMBUKUMBU NCHINI

▪️Awataka wazingatie maadili, wadumishe uadilifu na kulinda usiri wa taarifa WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watunza kumbukumbu wote nchini kuzingatia maadili ya kazi, kudumisha uadilifu na kulinda usiri wa taarifa zote zinazohifadhiwa kwani taarifa hizo ni nyenzo muhimu ya usalama wa Taifa na maendeleo ya nchi. Amesema kuwa Chama Cha Menejimenti ya Kumbukumbu…

Read More

Mzigo Mkubwa Upo Meridianbet Leo

JUMATANO ya kibabe hii hapa ambapo leo ni siku ya kupiga mkwanja wa maana na wakali wa ubashiri Meridianbet kwani mechi nyingi za kukupatia pesa zipo. Suka jamvi lako la ushindi siku ya leo. Mechi za Carabao leo hii Everton atamleta kwake Mansfield Town ambao wanakipiga League One kule Uingereza. Everton wao wapo EPL huku…

Read More

Mafunzo yafyeka benchi lote Zenji

BAADA ya kushindwa kuiongoza Mafunzo kufikia malengo iliyokusudia msimu uliopita uongozi umeachana na makocha wake wawili – kocha mkuu, Sheha Khamis na msaidizi wake, Abdallah Bakari ‘Edo’. Mafunzo msimu uliopita chini ya makocha hao ilimaliza nafasi ya tatu ikiwa na pointi 55 baada ya kushinda michezo 16, sare saba na kupoteza saba. Kwa mujibu wa…

Read More